Kenya, Uganda, Ethiopia na Sudan Kusini zimeunda baraza la viongozi kushughulikia migogoro ya mipakani na wizi wa mifugo miongoni mwa jamii ya Ateker, ili kuimarisha amani na ushirikiano katika eneo ...
Rais Donald Trump amewaagiza maafisa wa usalama wa mipakani kuwakagua kwa makini watu wanaoingia Marekani ,huku marufuku yake dhidi ya raia wa mataifa 7 ya kiislamu ikiwa imesimamishwa. Mapema ...
Ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana, umasikini, ukatili na vurugu za majumbani zinazoshuhudiwa na watoto vinachangia pakubwa kwa hatua ya makundi ya kiraia kutumbukia katika mitego ya Walanguzi wa ...