Mahakama ya kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetoa waranti wa kimataifa wa kukamatwa kwa kiongozi wa Muungano ...
Global gold and copper miner Barrick Gold Corporation has reported that its attributable proven and probable gold mineral reserves have increased by 17.4-million ounces before 2024 depletion.
Mawaziri hao wamekutana leo mjini Dar Es Salaam, Tanzania katika kikao kinachotangulia mkutano wa marais wa jumuiya hizo ...
Rais wa Salvador Nayib Bukele amepedekeza siku ya Jumatatu, Februari 3, kuwapokea nchini mwake wafungwa wanaoshikiliwa nchini ...
Wakili Tenzi Nyundulwa aliyekuwa akiomba kibali cha mahakama ili afungue kesi kupinga hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan ...
VIJANA wanne kutoka Kanda ya Ziwa, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, ...
Rais Donald Trump ametia saini amri ya utendaji inayoiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, akiituhumu kwa "vitendo ...
Baada ya Nipashe kutoa ripoti ya uchunguzi iliyoonesha ni kwa namna gani hali ya rushwa kwa askari wa usalama barabarani ilivyokithiri mkoani Kigoma. Jeshi la polisi mkoani humo limewashikilia askari ...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Jux amefunga ndoa na mpenzi wake mfanyabiashara kutoka Nigeria Priscilla leo Februari ...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Ferdnand Ndikuriyo ambaye raia wa Burundi, kutumikia kifungo miaka mitatu jela.
UKISIKIA kata mti panda mti, ndicho kilichofanywa na Yanga baada ya mabosi wa klabu hiyo kushtushwa na uamuzi wa ghafla wa ...