News

KATIBU Tawala wa Mkoa wa Singida, Fatma Mganga, ameiomba Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao mchanganyiko (COPRA), kuweka ...
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imesema kwamba mpigakura ambaye atakuwa nje ya kituo alichojiandikisha na kutaka ...
WAKATI Bunge likitarajiwa kuvunjwa rasmi leo, baadhi ya wananchi wameweka masharti ya wawakilishi wao wajao wawe ni wenye ...
MIRADI minne ya kimkakati iliyozinduliwa wiki hii na Rais Samia Suluhu Hassan, imetangaza fursa lukuki kwa Watanzania, ...
MKUU wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita, amepokea Mbio za Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha.
LEO Agosti 3, 2025, kwa mujibu wa Tangazo la Serikali Na. 486 lililotolewa Julai 25, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan, ...
UCHAGUZI wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wawaachia baadhi ya wagombea machungu hasa vigogo wanaotetea ...
ALIYEKUWA Mbunge wa Viti Maalum katika Bunge la 12 kupitia mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs), Neema Lugangira, ameshindwa ...
RAIA wa kigeni 213 wamekamatwa na Idara ya Uhamiaji Zanzibar, katika kipindi cha Julai mwaka huu, kwa makosa mbalimbali ...
Chama cha ACT Wazalendo kimeendelea kuongeza muda wa uchukuaji wa fomu katika kile kilichoelezwa kutoa muda zaidi kwa ...
Katibu Tawala Mkoa wa Singida, Dk. Fatuma R. Mganga, ameitaka Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) kuongeza juhudi ...
Mfano wa DDC Ya kisasa Kariakoo. WACHUMI nchini wameonyesha matumaini yao kwenye programu ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na ...